Kwa mtindo huu wa kujifanya much know hutaki kusahihishwa wateja utawasikia redioni tu.
Eti serious buyer aje!!!!!
Hivi hii dunia ya kicapitalist hii ni nani aharibu ratiba zake kwa jambo ambalo hajafikia muafaka.
Matangazo ya kitoto peleka fb kule watakuja fake buyers huku hata mia mfukoni hawana.
Watajifanya wamekolea bei ili tu watongoze visichana kwa kuonekana wana pesa.