Sembeta jr JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 805 Reaction score 367 Mar 9, 2015 #1 Kipo kihonda kwa chambo kimepimwa na kina hati ukubwa wake ni sq mita 1000 bei inaanzia sh milioni nane...,.ni pm kama uko na nia.
Kipo kihonda kwa chambo kimepimwa na kina hati ukubwa wake ni sq mita 1000 bei inaanzia sh milioni nane...,.ni pm kama uko na nia.
Sembeta jr JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 805 Reaction score 367 Mar 10, 2015 Thread starter #2 Sory nilichanganya bei....kiwanja hko kinauzwa mil 5. Cha milioni nane kipo juu kidogo ya milima ya uluguru karibu na shule ya nguzo
Sory nilichanganya bei....kiwanja hko kinauzwa mil 5. Cha milioni nane kipo juu kidogo ya milima ya uluguru karibu na shule ya nguzo
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,618 Mar 12, 2015 #5 sunguraa said: Kihonda ipi?kina offer/hati? Click to expand... swali LA kijinga Sana hilo.. MTU kasema kina hati then unauliza
sunguraa said: Kihonda ipi?kina offer/hati? Click to expand... swali LA kijinga Sana hilo.. MTU kasema kina hati then unauliza
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,681 Mar 12, 2015 #6 Transporter said: Sory nilichanganya bei....kiwanja hko kinauzwa mil 5. Cha milioni nane kipo juu kidogo ya milima ya uluguru karibu na shule ya nguzo Click to expand... Hiki cha karibu na Nguzo kina hati?
Transporter said: Sory nilichanganya bei....kiwanja hko kinauzwa mil 5. Cha milioni nane kipo juu kidogo ya milima ya uluguru karibu na shule ya nguzo Click to expand... Hiki cha karibu na Nguzo kina hati?
Sembeta jr JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 805 Reaction score 367 Mar 12, 2015 Thread starter #7 ZeMarcopolo said: Hiki cha karibu na Nguzo kina hati? Click to expand... Viwanja vyote vina hati jamaa
ZeMarcopolo said: Hiki cha karibu na Nguzo kina hati? Click to expand... Viwanja vyote vina hati jamaa
Sembeta jr JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 805 Reaction score 367 Mar 12, 2015 Thread starter #8 sunguraa said: Maongezi yapo? Click to expand... Maongez yapo hasa hicho cha milion 8 lakin hicho cha tano hapana
sunguraa said: Maongezi yapo? Click to expand... Maongez yapo hasa hicho cha milion 8 lakin hicho cha tano hapana