Hiyo bei ipo very reasonable. Nina hakika utakuwa hauna uzoefu wa kutosha katika maeneo hayo. Pili, suala kamisheni kuwa ninaongeza bei mara mbili si la kweli hata kidogo. Ungekuja ofisi ningekuonyesha mikataba yetu na wateja. Huwa tunatumia asilimia 0.1 hadi 5 hivi.karibuni ofisini kwetu tuwafafanulie namna tunavyofanya kazi zetu.