Habari Wakuu,
Kiwanja kinauzwa Nusu Heka, kipo Mbezi Beach Jogoo, upande wa Baharini km 3 kutoka bagamoyo Road ,kilomita 2 kutoka baharini. Bei TSH. Mil.600 . mazingira yake ni Mazuri kwa Kwa Nyumba ya kuishi au Biashara hasa kwa Kujenga Hotel.mazungumzo yanakubarika
Kwa Mtu kama anakihitaji aniPM.