Sijui chochote kuhusu hicho kiwanja. Sijawahi kukiona. Nimeambiwa tu kuwa bi mkubwa anauza eneo lake. Nimewahi kufika kwenye eneo lake ni kubwa na sijui ni upande gani anauza. Tafadhali piga simu kujua zaidi