Gazillionaire JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 235 Reaction score 59 Jul 8, 2013 #1 Nauza Plot ya ukubwa wa mita 40 kwa 30 Kibada kwa Milioni 3.5. Haina hati, mwenye kuhitaji ani PM tafadhali
Nauza Plot ya ukubwa wa mita 40 kwa 30 Kibada kwa Milioni 3.5. Haina hati, mwenye kuhitaji ani PM tafadhali
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,485 Jul 8, 2013 #2 Huko cndio manspaa wanapima viwanja na kuviuza na vingine wakiwafidia wale wanaohamishwa km kurasini .
Huko cndio manspaa wanapima viwanja na kuviuza na vingine wakiwafidia wale wanaohamishwa km kurasini .
Gazillionaire JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 235 Reaction score 59 Jul 8, 2013 Thread starter #3 dubu said: Huko cndio manspaa wanapima viwanja na kuviuza na vingine wakiwafidia wale wanaohamishwa km kurasini . Click to expand... Hapana sio kweli! Hilo ni eneo tofauti! Isitoshe kuna majengo mengi mapya ya watu, haiwezekani kufanyika process kama hiyo kwa sababu tayari ni makazi ya watu yaliyopimwa
dubu said: Huko cndio manspaa wanapima viwanja na kuviuza na vingine wakiwafidia wale wanaohamishwa km kurasini . Click to expand... Hapana sio kweli! Hilo ni eneo tofauti! Isitoshe kuna majengo mengi mapya ya watu, haiwezekani kufanyika process kama hiyo kwa sababu tayari ni makazi ya watu yaliyopimwa
P Pescam Member Joined Jul 19, 2013 Posts 13 Reaction score 1 Sep 6, 2013 #4 ok unapatikana vipi weka namba yako tuongee biashara.