Kiwanja kinauzwa Goba

Goba hakuna polini
Labda ueleweshe uma kuwa una zungumza kuhusu goba ipi... Kama sio goba ya barabarani... Na sio ile ya porini Kule... Hata usipo fika seheme satellite map ina weza kukusaidia kujua mazingira ya awali ya eneo husika...
 
Goba hakuna polini

Goba ipi... Sio neno goba tu... Goba mapori yapo goba barabara mbovu... Goba kuna sehemu ni mkondo waji kiangazi safi madika kwisha habari...

Semeni goba gani... Kuna goba utoke uko ulipo mpaka kufika centre ni safari huna gari imekula kwako...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…