dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Viwanja Goba ni over priced
Vipi Bei inapungua?
Nadhani sababu kumejengeka na miundo mbinu ipo.
Nadhani sababu kumejengeka na miundo mbinu ipo.
Kumbe bado ela mnazoChukua m8
Chukua m8
Kumbe bado ela mnazo
Nina shida na kiwanja Goba ila kiwe maeneo yasiyovuka "round about " kuja masana! Square meter 800 hadi 1200! Nitapata?Kipo Goba njia 4 kama unaelejea madale, 3 km kutoka pale round about.
Ukubwa mita 25 kwa mita 25
Bei 12.5m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 1192406View attachment 1192407
Goba ina miundombinu ipi?
Kuna uwezekano huijui Goba
Hatari sana hii... Ime nibidi nicheke sanaaa...Nakaa Goba Mkuu mwaka wa 4 huu.
Goba ni karibu na mjini kwa maana kuna barabara tayari na umeme upo pia kidogo kumejengeka.
Hivyo ni vitu muhimu kwa viwango vya kitanzania tanzania
Hatari sana hii... Ime nibidi nicheke sanaaa...
Labda ueleweshe uma kuwa una zungumza kuhusu goba ipi... Kama sio goba ya barabarani... Na sio ile ya porini Kule... Hata usipo fika seheme satellite map ina weza kukusaidia kujua mazingira ya awali ya eneo husika...Sasa utafananisha Goba na Chanika [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda ueleweshe uma kuwa una zungumza kuhusu goba ipi... Kama sio goba ya barabarani... Na sio ile ya porini Kule... Hata usipo fika seheme satellite map ina weza kukusaidia kujua mazingira ya awali ya eneo husika...