Kiwanja kinauzwa Forest mpya,Mbeya

Joined
Mar 18, 2025
Posts
66
Reaction score
35
Kiwanja kinauzwa Forest mpya panafikika, miundo yote ya muhimu ipo. Sqm 1200. Bei Tshs 40m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050 nyote mnakaribishwa!!
 

Attachments

  • 20250418_111025.jpg
    1.9 MB · Views: 35
Huna Nia ya kuuza , yaani eneo 30×40 ndo milion 40 basi hela imeshuka thamani aisee
 
Huna Nia ya kuuza , yaani eneo 30×40 ndo milion 40 basi hela imeshuka thamani aisee
I
Mi sio muuzaji. Bei anataja mwenye mali. So? Kuna 30×40 vinauzwa. Acha nikufuatilie kwenye page yako ili nijifunze. Maana humu ndani usipoweka koma, usipoweka kutio, uspoweka alama ya kuuliza nayo ni hoja. Haaa!! Msiwakatishe watu tamaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…