Kiwanja kinauzwa maeneo ya dege kigambon,
chenye ukubwa wa mita 35*35.
Kipo maeneo ya dege kigambon jiran na yale magorofa.
Hakipo mbali na barabara.
Hakijapimwa ila kiko kwenye maeneo ya makaz coz baadhi ya majiran wamepima tayar.
Bei ni milion 6 ila inapungua.
Karibuni serious buyers.
Mawasiliano 0755251314.