2 2030 Member Joined Dec 26, 2016 Posts 28 Reaction score 3 Oct 19, 2017 #1 Halooo wana JF,nauza kiwanja kipo Dar,Kina ukubwa wa heka 1,bei na mengineyo nione kwa namba hii:0764732326
Halooo wana JF,nauza kiwanja kipo Dar,Kina ukubwa wa heka 1,bei na mengineyo nione kwa namba hii:0764732326
kifinga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 5,249 Reaction score 9,618 Oct 19, 2017 #2 dar kubwa je kipo sehemu gani
Mandison Senior Member Joined Mar 10, 2017 Posts 191 Reaction score 116 Oct 19, 2017 #3 Dar ndo wapi? Eleza kiwanja kipo eneo gani la Dar
LUCKY BANANA JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 461 Reaction score 226 Oct 19, 2017 #4 ENEO GANI
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,437 Reaction score 46,182 Oct 19, 2017 #5 Kiwanja kipo Masaki kimepakana na nyumba ya Mh Waziri wa Makinikia bei ni sawa na bureee.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,670 Reaction score 167,727 Oct 19, 2017 #6 Frank Wanjiru said: Kiwanja kipo Masaki kimepakana na nyumba ya Mh Waziri wa Makinikia bei ni sawa na bureee. Click to expand... Kama ni bure nakiomba
Frank Wanjiru said: Kiwanja kipo Masaki kimepakana na nyumba ya Mh Waziri wa Makinikia bei ni sawa na bureee. Click to expand... Kama ni bure nakiomba
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Oct 19, 2017 #7 watu wa mikoani kwa ushamba, kwa hiyo uliona ukitaja tu dar bas utaonekana mjanjaaa
Mdhamini JF-Expert Member Joined Nov 25, 2016 Posts 214 Reaction score 172 Oct 19, 2017 #8 2030 said: Halooo wana JF,nauza kiwanja kipo Dar,Kina ukubwa wa heka 1,bei na mengineyo nione kwa namba hii:0764732326 Click to expand... Vip mkuu 1.4 bn unachukua? kama upo tayari ni pm.
2030 said: Halooo wana JF,nauza kiwanja kipo Dar,Kina ukubwa wa heka 1,bei na mengineyo nione kwa namba hii:0764732326 Click to expand... Vip mkuu 1.4 bn unachukua? kama upo tayari ni pm.