We jamaa, kweli unaijua Bunju B siku si nyingi utanifikia mimi kwa jinsi ninavyoijua Dar na vichochoro vyake karibia vyote.bunju b kubwa ndugu, anzia kihonzile, mnarani, kwa mama mnuo , kwa baharia, ghorofa la mwarabu.
Bomoa bomoa haitafika hapo?
kimepimwa?kina hati?
njia za mto?open space?
bunju b kubwa ndugu, anzia kihonzile, mnarani, kwa mama mnuo , kwa baharia, ghorofa la mwarabu.
Utapeli mtupu wadau kuweni makini kiwanja cha 4m hakipo bunjuSalama wakuu;
Ninauza kiwanja/shamba. Ukubwa ni SQM 400 Eneo kilipo ni Bunju B, Bei ni 4M. Kiwanja kipo sehemu nzuri, maji yapo, umeme nao tayari umeshafika eneo husika. Kwa anayehitaji tuwasiliane kupitia 0769942927, tuma sms,WhatsApp au piga.
Karibuni.
Sasa huko ni bunju?Du ! Shule ya secondary ya Baobab unaijua ? Unaingilia pale pale njia panda ya Vikawe.
Du ! Shule ya secondary ya Baobab unaijua ? Unaingilia pale pale njia panda ya Vikawe.[/QU
napafahamu vizuri , ukisonga mbele kidogo ni kiharaka,
Sasa huko ni bunju?
We jamaa, kweli unaijua Bunju B siku si nyingi utanifikia mimi kwa jinsi ninavyoijua Dar na vichochoro vyake karibia vyote.
...Nyanyado nipigie simu 0713 590607 au nitext nitakupigia mkuuila usisahau kuwa "mjanja wa mzizima leo kawa mshamba dar es salaam".
Serekali imekataa mtu au taasisi kuuza au kununua kiwanja mpaka itoe bei elekezi