Babu mimi nilivyoelewa ni miguu 25 kwa 30Mkuu hizi ni mita au hatua? Maana kama ni mita hicho ni kiwanja kikubwa, kwa maeneo hayo na kwa bei hiyo... atakayekinunua atakuwa kajipatia bahati ya mtende wallah...
Hizi ni hatua za miguu.Babu mimi nilivyoelewa ni miguu 25 kwa 30
Hapo kwenye miguu ndo kuna kamtihani... maana inategemea na urefu wa mguu wa mpimaji...Babu mimi nilivyoelewa ni miguu 25 kwa 30
Tuwasiliane, tuongeeKula 3M fasta mkuu....
Hata ya mtu mrefu kama mimi?Hizi ni hatua za miguu.
Hizo ndo mita kienyeji. Hapo ni sqm 700Babu mimi nilivyoelewa ni miguu 25 kwa 30
Hiki kiwanja kipo kama unavyokiona kipo KINONDO-BUNJU.kwa wanaoijua vizuri bunju, ni karibu kidogo na yalipokuwa mashamba ya Waziri Sumaye. Nimakazi mapya, but kwa wanaojua Kinondoni inakua halaka sana.Kwa wanaoijua kinondoni watakuwa wanajua ninachokiongea.Mkuu hizi ni mita au hatua? Maana kama ni mita hicho ni kiwanja kikubwa, kwa maeneo hayo na kwa bei hiyo... atakayekinunua atakuwa kajipatia bahati ya mtende wallah...
Bagamoyo.bunju shuleKm 2 kutoka barabara ipi, Bagamoyo road au?