kama kinavyoonekana kwenye picha kutoka nguzo mpaka barabara gari lilipo,
kimepimwa na kipo hatua za mwisho kupata hati
kina eneo la ukubwa wa 744m
kipo eneo la Ulongoni Gongo la mboto
bei ni maelewano.
kwa mawasiliano zaidi call 0714 592621
hakuna dalali