chazi piere
Senior Member
- Jun 12, 2016
- 132
- 73
Mita 17x10Ukubwa gani?
soma posti tenaUkubwa gani?
Poa asante kwa kuchangia Great ThinkerMtafute lema atanunua
Poa asante kwa kuchangia Great Thinker
Mbona bei ipo mkuu?soma posti tena
Tatizo hupajui dampo halitumiki kwa ss serikali imepiga fensi ya ukuta wanataka kujenga stendiShida karibu na dampo!
Mmm!mbona hapa arusha viwanja vingi vimepimwa saizi hiyo?anyway mi sio expert wa ardhihiyo ni square metre 170. huruhusiwi kupewa hati miliki hapo. ongeza ukubwa.