Mwaikibaki JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 3,047 Reaction score 3,775 Nov 28, 2015 #1 Kiwe kinatosha ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne na eneo libakie .Huduma za barabara na umeme ni muhimu ziwe karibu. Bajet: Isizidi 10m Location: Goba..mbweni..mbagala(kuu..zakhem au chemchem)..kitunda ya kuingilia banana..mbezi ya kimara etc. -Kiwe na document muhimu, matapeli na madalali uchwara naomba msisogelee tangazo hili msije mkanilaumu -Tuma pm nita zi - attend as needed. Natanguliza shukrani.
Kiwe kinatosha ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne na eneo libakie .Huduma za barabara na umeme ni muhimu ziwe karibu. Bajet: Isizidi 10m Location: Goba..mbweni..mbagala(kuu..zakhem au chemchem)..kitunda ya kuingilia banana..mbezi ya kimara etc. -Kiwe na document muhimu, matapeli na madalali uchwara naomba msisogelee tangazo hili msije mkanilaumu -Tuma pm nita zi - attend as needed. Natanguliza shukrani.
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,326 Reaction score 7,522 Nov 28, 2015 #2 Tuwasiliane>0656608136>Call,text&Whatsapp kwa pesa hiyo unakatiwa kiwanja kikubwa,,eneo ni Mbezi ya Kimara,huduma mhimu zote zipo,karibu
Tuwasiliane>0656608136>Call,text&Whatsapp kwa pesa hiyo unakatiwa kiwanja kikubwa,,eneo ni Mbezi ya Kimara,huduma mhimu zote zipo,karibu
M mambawengi Member Joined Jan 23, 2015 Posts 26 Reaction score 6 Nov 28, 2015 #3 nichek 0763150550 nikuachie nyumba kamili na eneneo kubwa tena gari linafika mlangoni eneo la kivule