Kaka kumbe tunapenda bei zinaporushwa juu, maana sku hizi hata apartments za Dar ni ghali kuliko za Dubai?!!!! Kama unafahamu taratibu zote za kufuata ili kukwepa kutapeliwa sioni haja ya kuogopa kwa msingi wa bei mkuu! Mi nimeona bei ni nzuri mkuu, pamoja na kwamba hajatoa details za kutosha za kiwanja, labda kama ni kikubwa na kiko pazuri mno!