babuuestates
Member
- Mar 7, 2020
- 5
- 0
Kipo chalinze am serious kkKiwanja chenye hati kinahitajika ,ukubwa uwe square metre 1000 au zaidi.
Maeneo
Goba au Bunju
mwenye nacho anichek kwa;
mawasiliano: 0765 494 548
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
mkuu chalinze kutakua mbali sana..huna kingine around hapa townKipo chalinze am serious kk
mkuu chalinze kutakua mbali sana..huna kingine around hapa town
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Hiko cha Bunju bei gani?Kama bado unaiwitaji wakiwanja nina viwanja viwili, kimoja kipo kinyerezi kichangani ukubwa ni 70×33 ni tambalale kabisa. Kingine kipo bunju mkabala kabisa na kiwanja cha simba sc. Ukiwa kiwanjani hapo huna aja hata ya kusogea uwanjani ili uwatizame wachezaji, ni kuweka kiti chako nje tu na kupata burudan mubashara umakini muhimu mipira waga inafika adi kiwanjan. Ukubwa ni 20×30
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiluvya kipo jirani kabisa na Morogoro Roadmkuu chalinze kutakua mbali sana..huna kingine around hapa town
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
[emoji16] umetisha acpokucheck bac atakua hana ela tu.Kama bado unaiwitaji wakiwanja nina viwanja viwili, kimoja kipo kinyerezi kichangani ukubwa ni 70×33 ni tambalale kabisa. Kingine kipo bunju mkabala kabisa na kiwanja cha simba sc. Ukiwa kiwanjani hapo huna aja hata ya kusogea uwanjani ili uwatizame wachezaji, ni kuweka kiti chako nje tu na kupata burudan mubashara umakini muhimu mipira waga inafika adi kiwanjan. Ukubwa ni 20×30
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] umetisha acpokucheck bac atakua hana ela tu.
smart Ki [emoji117][emoji363]
Kama bado unaiwitaji wakiwanja nina viwanja viwili, kimoja kipo kinyerezi kichangani ukubwa ni 70×33 ni tambalale kabisa. Kingine kipo bunju mkabala kabisa na kiwanja cha simba sc. Ukiwa kiwanjani hapo huna aja hata ya kusogea uwanjani ili uwatizame wachezaji, ni kuweka kiti chako nje tu na kupata burudan mubashara umakini muhimu mipira waga inafika adi kiwanjan. Ukubwa ni 20×30
Sent using Jamii Forums mobile app