Kipo eneo la Kwembe _ Mbezi/Kibamba panaitwa Kwembe Kati, Maduka sita - lipo kama 3km from Morogoro Road. Halijapimwa lipo nje ya eneo la mradi, umeme umepita kiwanjani, mmiliki alimiliki tangu mwaka 1980 ndiye anayeuza sehemu ya eneo lake. ameshawauzia baadhi ya watu sehemu zingine.
Mimi sio dalali bali nafikisha tu ujumbe maana ndugu yangu amenunua pia eneo katika eneo hilo.
Bei Tzs 8m.
Nawasilisha