Yaani jinsi ninavoipenda bajaji yangu nimeiweka kava za ngozi pure yaani napangusa vumbi tuu umenikoshaje nikikaa hapo kwenye usukano hata foleni siioni nakula mziki tuu.

You are too modest sakapal. Yaani gari yako aina ya toyota Nadia unaiita bajaj! Wacha bwana! By the way, umesharudi? Maana uliaga hapa JF kwamba hutaonekana, unaishia zako. Welcome back mdau!