kama yalivyo majini mengine, haya yanabase sana upande wa mapenzi, na yanakuwa yanakupa masharti, mengine kwayo mimba ni uchafu!! mengine hayataki kabisa uwe na m'me!!! mengine yanakuchagulia m'me!! mengine ndo ukilala unahisi unafanya mapenzi na mtuna ukiamka unajikuta umelowa kam ulikuwa unafanya mapenzi. ni mabo kama hayo my dia
huyo mdada hatoi penzi...: kwa kila anayekuja usoni kwake bali anatoa ngono. kwa hakika hafai kuolewa ndio maana angagement zote 3 zimeproove failure. ningeonana naye ningemshauri awe sex worker.