Naomba kuuliza, hivi ule mradi wa kigamboni, vijibwen wa wamarekani unaotarajiwa kuisha 2030 ni kwamba haujachukua eneo lote la kigamboni ? Na km ni eneo lote hivi viwanja vinauzwa kigamboni ipi.? Naomba mnisaidie hili kwa wale wenye kufahamu vizuri mradi huu na Kigamboni