The husband's reaction was appropriate considering the circumstances of the event and the timing of the reaction...
Hata hivyo, hawapaswi kuishia hapo; after the dust has settled, wanapaswa kukaa chini na kujiuliza wapi hasa walipokosea ili siku nyingine kosa lisirudiwe.
Kuficha kichwa kwenye mchanga assuming hakuna kosa lililofanyika (in this case wote wanapaswa kushare blame of course) inaweza kuwasababishia madhara zaidi...