Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
Nitafute mimi ninaweza kukutibia Kaswende hata wale wenye ugonjwa wa Hapatiti B munitafute ninayo dawa nitawatibieni niandikie Email baruw aya pepe email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comWapendwa, nina tatizo ambalo mwanzoni lilikuwa dogo lakini sasa naweza kusema limekuwa sugu. Niliwahi kufanya sexual intercourse ambayo result yake ni kuumia na kujeruhiwa kwa kojoleo. Yaan nimeambukizwa ugonjwa kaswende. Nimefanya jitihada sana kuhakikisha napona bila mafanikia. Nimetumia vidonge na hata sindano lakini hazijanisaidia. Tatizo linapoa tu then linaanza kuleta madhara. Linaniletea uchovu na hata kojoleo halina raha yoyote. Nawaomba wataalam wa hapa wanivumbulie njia muafaka ya kunisaidia ikiwa ni pamoja na tiba kwa anayejua. Changieni sasa
MziziMkavu umewahi kumtibu mtu yeyoye humu?Nitafute mimi ninaweza kukutibia Kaswende hata wale wenye ugonjwa wa Hapatiti B munitafute ninayo dawa nitawatibieni niandikie Email baruw aya pepe email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
"naungana na wewe moja kwa moja tbt bima is a home of syphillis"pia pole sanaTabata bima sichukui tena demu!