Karibuni sana kwa wale wote wanaohitaji used computers(ikiwa set nzima au monitor peke yake na cpu peke yake), HDD, Ram,Display,Batteries etc.
Tunapatikana karume machinga complex, Dar es salaam.
Mob: 0719484663 au 0624748884.
NB: Namba zote zipo whatsapp unaweza kutumiwa picha ukaona bidhaa unayohitaji tukikubaliana unakuja kuchukua au unatumiwa popote ulipo kwa hapa Tanzania.