Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

mimi naomba dawa ya kunitibia na Allergy maana nateseka
 
Aisee mkuu pole,,familia yetu tumewahi oata wagonjwa wawili wa saratani ya shingo ya kizazi. Wa kwanza ni dada yangu ila alifariki na wa pili akawa mtoto wake ajabu dogo alipata saratani akiwa darasa la 7 kwakweli kuuguza mgonjwa wa saratani ni gharama mno ila Mungu amejaalia yule dogo amepon na anaendelea na masomo yake.

M/Mungu akutie nguvu katika nyakati hizi ngumu.
 
HAIJAWA BAHATI KWANGU, SARATANI IMESHINDA VITA YA KUPIGANIA UHAI NA MKE WANGU
Pole sana jamani 😭😭😭😭. Amevipiga vita, mwendo ameumaliza, apumzike kwa amani, Amina. Ndio naona leo nimesikitika sana
 
Moderator mngemsaidia kupandisha juu ile post ya mleta uzi aliyosema kuwa huyo mke wake alishafariki dunia ili kwa msomaji mpya aelewe na hii itasaidia kuondoa mkanganyiko.

Kwani kuna wengine wanatoa pole na wengine wanamtakia mke uponyaji mwema wakati huyo mke mwenyewe hata hayupo tena duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…