Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 138
Mkuu tangazo lako lina makosa mengi sana ya kiufundi. Kwa haya tu unaonekana wewe ni tapeli! Na wala hujui unachokifanya...Na ni vyema piabukasoma sheria na sera za utoaji wa afya Tanzania, kwamba Huduma ya afya, awe mtu au kituo hakitakiwi kujitangaza kibiashara..Unachotaka kufanya wewenunataka utumie website yako utangaze hawa madokta nna uingize kipato kwa namna unayoijua...Hilo ni kosa!! Take it or leave it......nalog off!Tumeandaa database itakayompa mtanzania uwezo wa kuona, kuchagua na kuwasiliana na daktari anayemtaka pindi anapojisikia kufanya hivyo kwa urahisi kabisa kupitia simu yake ya mkononi.
Ukiwa kama daktari au mdau wa afya tunaomba utusaidie taarifa za madaktari wa kada zifuatazo ili tuweze kurahisisha zoezi hili
1. Cardiologist
2. Dentist
3. Gynecologist
4. Gastrologist
5. Dematologist
6. Eye care
7. Neurologist
8. Homeopathy
9. Ayurveda
10. Urologist
11. Pulmologist
12. Orthopedic
13. Internal medicine
14. General
15. etc
Taarifa za daktari zifuatazo ndiyo zinazohitajika
1. Full name
2. Affiliated hospital|clinic
3. Schedule: e.g. Monday 11:00~17:00, Wednesday 09:00~14:30, etc
4. Contact: Mobile,Telephone,Email etc
Kama una maoni, ushauri, etc juu ya database hii unakaribishwa.
Mkuu tangazo lako lina makosa mengi sana ya kiufundi. Kwa haya tu unaonekana wewe ni tapeli! Na wala hujui unachokifanya...Na ni vyema piabukasoma sheria na sera za utoaji wa afya Tanzania, kwamba Huduma ya afya, awe mtu au kituo hakitakiwi kujitangaza kibiashara..Unachotaka kufanya wewenunataka utumie website yako utangaze hawa madokta nna uingize kipato kwa namna unayoijua...Hilo ni kosa!! Take it or leave it......nalog off!
kwanza badili kichwa cha habari kijieleze angalau kidogo,
pia maelezo hayatoshi, hayo majina ya specialists unayoyataka unayafanyia nini baada ya kuyapata, utawasiliana nao? utawaambia nini..,
we mwenyewe hujajielezea ni nani, unafanya nini, maelezo kuhusu hiyo database itakavyokuwa inafanya kazi pia hayatoshi mkuu
hio namb 8 na tisa hao ni hizo ni medical speciality kweli?