Grams ngapi ya gesi per hour inatoa?Jiko limetumika miezi 4 lipo vizuri halina tatizo lolote nakupa na pipe yake ya 1.5m jamani kwa anaetaka jiko ni orignal
Kama unataka na upo serious bei yangu ni hiyo 80k nicheki kwa whatsup,txt or piga namba 0716917896 nivizuri ukanicheki kwa sm kuliko ukitext huku jamii coz kuna muda nakuwa sipo online
Atakuwa alipigwa alivyonunua now anadhani ni kweli ile ilikuwa bei halisi!!Mkuu, mapya wanauza 60k wewe kuu kuu unataka 80k?
Mkuu kabla ya kuongea ili uonekane unajua sana mwenyewe ufanye research mimi siyo mpumbavu kitu cha 60k niweke 80k haya majiko yanatofautiana na brand so na bei ni tofauti hilo jiko nimenunua 100k mwezi wa 4 na hapo nimeweka 80k coz natoa na pipe ukumbuke pipe haiuzwi na jiko .sasa hizo swaga za kizaramu sijui tena wanakuwaga nazo watoto wa kike sasa sijui ww ni jisia gani kama ni mwanamke siwei kukulaumu ila usidakie kitu maana kama tekno inauzwa 60k basi samsung ,lg, sony zote zitakuwa zinauzwa 60kMkuu, mapya wanauza 60k wewe kuu kuu unataka 80k?
Toa ushahidi na uonyeshe wengine wanapoliuza 60k hilo jiko iwasaidieMkuu, mapya wanauza 60k wewe kuu kuu unataka 80k?
Toa ushahidi na uonyeshe wengine wanapoliuza 60k hilo jiko iwasaidie
Mpaka nikacheckHujajibu swali langu boss
Mpaka nikacheck
Ya mm nauza mapya 80Elfu 80 wkt jipya elfu 80 hiyo hiyo
MKUU UKUTE ANAUZA NA MTUNGI WAKEElfu 80 wkt jipya elfu 80 hiyo hiyo
Kuna mtu kalinunuaBado hujacheck mkuu au middleman boss
Mkuu kabla ya kuongea ili uonekane unajua sana mwenyewe ufanye research mimi siyo mpumbavu kitu cha 60k niweke 80k haya majiko yanatofautiana na brand so na bei ni tofauti hilo jiko nimenunua 100k mwezi wa 4 na hapo nimeweka 80k coz natoa na pipe ukumbuke pipe haiuzwi na jiko .sasa hizo swaga za kizaramu sijui tena wanakuwaga nazo watoto wa kike sasa sijui ww ni jisia gani kama ni mwanamke siwei kukulaumu ila usidakie kitu maana kama tekno inauzwa 60k basi samsung ,lg, sony zote zitakuwa zinauzwa 60k
00000 911 98000000000000000ⁿ99⁹9p96 01 8Kuna mtu kalinunua