Jenereta aina ya Honda, 2200GF2 Inauzwa kwa bei nafuu,Ipo kwenye hali nzuri,imetumika kwa mda wa mwezi 1 tu,kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia 0659606000
sasa mbona unapigiwa na hupokei simu?kurahisisha mambo taja bei yako na specification za hilo generator, like rated power output nk...weka vitu wazi tujue mkuu.