Je? Laptop ni muhimu?

Laptop haina umuhimu kwa kweli
 
changes begin with me and you
let's unite, we can make it
 
Magufuli ana kazi ya ziada, kwa kudhani watanzania wa sasa ni wajinga!
 
Niliwahi sema magufuri ni kati ya wagombea wasiojua kwanini wanagombea urais zaidi misifa ya kijinga!
 
hizi picha zinasikitisha jamani..hii laana jaman..sera za sisiem zimetufikisha hapa
 
Najuta kufungua hii thread, but pia najiuliza kunamwalimu atamuadhibu mtoto kwa kuwa na bad handwriting hapo? na je tutajiuliza kwanini watoto wanapata homa za matumbo mara kwa mara?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…