Jamani natafuta chumba kisizidi 40000

 
Cheki na jamaa huyu...
Sio dalali Bali anapoishi nyumba bado mpya ina vyumba vingi, vizuri balaa.
0719644519
 

Mim nakaa baruti, nina sebule na vyumba viwili, je waweza kuja panga kwangu japo pia nmepangishwa?
 
kuna sehem uku changanyiken karibu na chuo kikuu dar es salaam anaitwa Jesus village
 
Choo cha nje?.... cha kuchangia
 
Mim nakaa baruti, nina sebule na vyumba viwili, je waweza kuja panga kwangu japo pia nmepangishwa?
Poa tu boss cha msingi tukikubali namna ya kuishi bila masharti makali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…