Mkuu jitahidi kwa kadri unavyoweza uweke taarifa za kutosha kwenye tangazo lako ili mtu kama mtu anaingia inbox aje kwa ajili biashara. Biashara nyingi zinazokua na taarifa nusu nusu zinaleta maswali mengi. Kuna watu ni wadau wazuri lakini wakiona taarifa haijitoshelezi wanakua na mashaka na biashara yenyewe.