Isuzu Bighorn V6 1995 for sell

connymarty

Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
14
Reaction score
2
used but in very good condition location Dar es salaam upanga 0713430829 only 17,000,000/=
 

Attachments

  • IMG-20150319-WA0028.jpg
    78.4 KB · Views: 136
  • IMG-20150319-WA0036.jpg
    12.6 KB · Views: 112
  • IMG-20150319-WA0037.jpg
    201.5 KB · Views: 116
  • IMG-20150319-WA0038.jpg
    193.5 KB · Views: 105
  • IMG-20150319-WA0059.jpg
    12.9 KB · Views: 108
  • IMG-20150319-WA0061.jpg
    13.7 KB · Views: 106
Hii bana kaa nayo tuu utapasuka moyo
 
Pasua kichwa hizo halafu hiyo bei ndo kabisaaa!!!

Hata ukiuza M7 hupati MTU hiyo maana hizo GARI ni ugonjwa Wa moyo!!!
 
Nasikia kuna wataalamu wa kuondoa engine na gear box na kuweka za RAV 4 na baadaye kufutilia mbali mfumo wa TURBO ijapokuwa wanasema haitakuwa na nguvu na speed kama awali lakini angalau utapunguza safari za garage
 
Sijui kwanini hizi Gari zinapendwa na wazee wengi wa pale UDSM..
 
Nasikia kuna wataalamu wa kuondoa engine na gear box na kuweka za RAV 4 na baadaye kufutilia mbali mfumo wa TURBO ijapokuwa wanasema haitakuwa na nguvu na speed kama awali lakini angalau utapunguza safari za garage
Duh, engine ya RAV4 itaweza kusukuma huo mzigo?
 
andikeni kiswahili tu maana tunaolengwa ni waswahili wa kwa mtogole na huku kwetu mugwinkwavu.

siamini kama haujui kutofautisha istilahi hizi za lugha ya malkia.

'sell'
-sale
-cell

faiza fox njoo huku mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…