kwa hiyo hiyo gari ya Mwaka Gani?
au mlikuepo wakati inaingia Tanzania?
hiyo imeingia 2015 na kwa Mtumba tuliouzoea ni mpya bado.
Ila ni kawaida watu kutaka kuchangia kila mada.
Mkimaliza mpost na Gari zenu mpya zenye tairi mpya. Tulinganishe!
Hahaha. Ni mpya kwake. Kwa maana ameitia mkononi 2015. Lkn ni nzee kwa kutumika kwa maana imeshatumika huko ilikokuwa. Tumsamehe tu hajui anachokiongea. Ndio hawa waliobukiwa kwenye mitandao ya jamii basi hata ya 2000 pia ni mapya kwao.