D Dannycage Senior Member Joined Oct 25, 2010 Posts 104 Reaction score 36 May 22, 2014 #21 Jerrymsigwa said: Ndugu yangu mafala huwa hawaishi mjini ngoja huyu jamaa awaripue Click to expand... Hahahhahahaha kumbe bado watu wanajifanya wanajua kumbe hamna kitu. Kuuliza sio ujinga jamani, sasa waache walipuliwe.
Jerrymsigwa said: Ndugu yangu mafala huwa hawaishi mjini ngoja huyu jamaa awaripue Click to expand... Hahahhahahaha kumbe bado watu wanajifanya wanajua kumbe hamna kitu. Kuuliza sio ujinga jamani, sasa waache walipuliwe.
jaqfantasy212 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2012 Posts 542 Reaction score 258 May 22, 2014 #22 Dannycage said: Hahahhahahaha kumbe bado watu wanajifanya wanajua kumbe hamna kitu. Kuuliza sio ujinga jamani, sasa waache walipuliwe. Click to expand... Nyie wenye viela vya kuungaunga ndio mnamahesabu ya kwenda be forward, wenye ela zao kununua showroom au kwa mtu sio ishu..
Dannycage said: Hahahhahahaha kumbe bado watu wanajifanya wanajua kumbe hamna kitu. Kuuliza sio ujinga jamani, sasa waache walipuliwe. Click to expand... Nyie wenye viela vya kuungaunga ndio mnamahesabu ya kwenda be forward, wenye ela zao kununua showroom au kwa mtu sio ishu..
Walad Amin JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 287 Reaction score 87 May 23, 2014 Thread starter #23 jaqfantasy212 said: Nyie wenye viela vya kuungaunga ndio mnamahesabu ya kwenda be forward, wenye ela zao kununua showroom au kwa mtu sio ishu.. Click to expand... Hawajui biashara hao
jaqfantasy212 said: Nyie wenye viela vya kuungaunga ndio mnamahesabu ya kwenda be forward, wenye ela zao kununua showroom au kwa mtu sio ishu.. Click to expand... Hawajui biashara hao