IST inauzwa (2004)

Bei sana mkuu. Nimeagiza Audi A3 ya 2004 gharama zote ni 9.5m hadi kuwa nayo mkononi. Utawapata wavivu wa kuingia be forward au waoga wa kuagiza.
 
Bei sana mkuu. Nimeagiza Audi A3 ya 2004 gharama zote ni 9.5m hadi kuwa nayo mkononi. Utawapata wavivu wa kuingia be forward au waoga wa kuagiza.

Ndugu yangu mafala huwa hawaishi mjini ngoja huyu jamaa awaripue
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…