Mkuu nikiwa dalali wewe unaumia vipi? Halafu dalali ningeacha namba yangu ya simu, ila hiyo hapo ni namba ya mwenye gari. Mwenye gari ni mdogo wangu ameagizia gari ingine namsaidia aiuze.
Sent from my ✂️⏳⏳iPhone using JamiiForumsa