Walad Amin
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 287
- 87
🙂🙂 hahahaha isha oza hiyo
bali ni nini ?Mjomba sio bangi hyo,gari
Parefu sana kama show room
Hyo ni straight from japenga
We unapiga faida ngapi hapo?
We pita njia tu usiulize swali toa ofa
Mkuu samahani kama umechukia, huwa wengine wanasema tu 'hapa yangu 1.5m' na mtu akibisha anapewa receipt!
Mi siendeshi toyota mkuu
Sura yako inaonyesha ww ni mpita njia
Mil 7.5 mkuu
hahahaahahahahahawafanyagi biashara hivi
kuna bajeti ya 7.5 mkuu