Tofautisha baina ya Misri ya mafarao na hawa waarabu koko wahamiaji kutoka arabuni waliopo ktk Misri ya sasa. Usichanganye madesa. Algebra haikuanzia Misri, kitovu cha elimu ya kale kwa waarabu ilikuwa Baghdad (akina al Khawarizmi) kama ilivyokuwa akina Einstein walivokuwa Ujerumani na Austria. Halafu unaposema modern civilization sijui una maanisha nini?
Lakini ukumbuke hata akina al Khawarizmi wakati wanafanya shughuli zao, sio kwamba umma wote ulikuwa umeelimika. Kwa nionavyo, ukosefu wa elimu bora (kama huduma bora zingine za kijamii) ni matokeo ya serikali isiyoongozwa na watu sahihi. It has been that way kwa nchi zote za dunia ya tatu.