Toka mwaka 2018,nimekuwa nikifuatilia jinsi BBC Swahili wanavyo ripoti kuhusu TZ,unakuta mostly wanatoa negative news kuhusu TZ, ikitokea Tz imeganua jambo nzuri,sio rahisi walitangazehii ni hasa baada ya mkurugezi wa hii idhaa ambaye ni mkenya kushika hiyo nafasi,unakuta wanaipendelea Kenya sana,nimetokea kuichukia Sana hii idhaa.