Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,620
- 31,162
Aaaah kumbe hii hii niliisikia ila juu juu tuHabari zinafichwa Sana, official statement media za Israel eti Israel imepambana na wauza dawa za kulevya
Na ni mjinga pekee anadhania kwamba waislam hawawezi kuishi bila amaniNi Mjinga peke yake anayeweza kuamini Waislam wanaweza kuishi kwa amani duniani
Imagine Iran anaishambulia Pakistan, nchi yenye Nyuklia
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747324633538322845
Jaish ul-Adl Jaish ul-Adl - Google SearchWale wa jana walikuwa magaidi wa kiisrael ?
Nchi ipo wanayopigania zaidi ya kuleta fujo na mauaji ya kikatili?!Gaidi ni USA anaefadhili uvamizi middle east.
Huwez ita hizbollah na hamas magaid ilhali wanapigania ardhi zao.
Amewajibu magaidi wenzake wa jaish ul Adl. Hawa magaidi wanapambana na Iran tangu mwaka 2012. Wanataka kujitenga.Asingejibu mngesema iran ni mbwa koko akijibu eti kuna kitu anakitafuta nyie mna matatizo sio bure
Muanzilishi wamakundi ya kigaidi dunian ni USA kama daesh NKIran ndio mfadhili mkubwa wa vikundi vya kigaidi kama Hezbollah, Hamas na Houth wa kule Yemen.
Labda mgeni kwenye anga za kimataifa,,, kwa faida yako tu vibaraka vya gaidi marekani na shost yake Israel humo ni moja ya maficho yaoIran anapigania ardhi gani hukmgeo Pakistani? Kama si ugaidi
Daesh, ISIS, Hezbollah, Hamas yote hayo ni makundi ya magaidi yenye mlengo wa kidini.Muanzilishi wamakundi ya kigaidi dunian ni USA kama daesh NK
Kwa kushirikiana na mamlaka za PakistanNi Mjinga peke yake anayeweza kuamini Waislam wanaweza kuishi kwa amani duniani
Imagine Iran anaishambulia Pakistan, nchi yenye Nyuklia
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747324633538322845
Hizbullah na Hamas siyo makundi ya kigaidiDaesh, ISIS, Hezbollah, Hamas yote hayo ni makundi ya magaidi yenye mlengo wa kidini.
Hata hueleweki unazungumzia nini.Nchi ipo wanayopigania zaidi ya kuleta fujo na mauaji ya kikatili?!
Ila mashoga wamezidiWagonga vichwa sakafuni Wana Akili mbovu sana..
ISIS Alqaida ni vikundi vya nani?Iran ndio mfadhili mkubwa wa vikundi vya kigaidi kama Hezbollah, Hamas na Houth wa kule Yemen.
Hawajazungumza na yoyote na wameenda kupiga Wassuni ambao wanatunzwa na Pakistan nchi ya Kissuni.Kwa kushirikiana na mamlaka za Pakistan
Vya kigaidi kama HamasISIS Alqaida ni vikundi vya nani?
Ni makundi ya nini?’Hizbullah na Hamas siyo makundi ya kigaidi
Mbona makomandoo wetu wamechoka sana?Kumekucha tena:Breaking.......
Iran yaishambulia tena kambi za magaidi sasa ni zamu ya Pakistan...Makombora ya Iran yalenga kambi za magaidi wanaoungwa mkono na Israel huko Pakistan
️️BREAKING
IRGC struck terrorist Headquarters inside Pakistan
Jaish Ul Adl headquarters were hit and destroyed by ballistic missiles and drones.
BREAKING : IRGC now confirmed it has just launched several medium range ballistic missiles and drones towards the headquarters of Jaish Al-Adl terrorist group near city of Panjgur in Balochistan province of Pakistan.
IRGC is doing some remarkable work against global terrorism.
This time targeting (in cooperation with the Pak-Army) with ballistic missiles and drones, the Israel-backed Jaish Al-Adl group in Baluchistan, Pakistan.
May ALLAH unify the Ummah against the common enemies.
BREAKING : @OfficialDGISPR confirmed, 19 Iranian missiles and drones hit the targets in the Panjgur area of Balochistan.View attachment 2873927
Trump ana roho mbaya sana, bora huyu mzeeApige new yoku tuone halafu biden anatafuta kura kwenye huu uchaguzi angalieni mtalia na kusaga meno kabla ya mzee shithole countries hajachukua hatamu nawapa pole
View: https://twitter.com/CENTCOM/status/1747214405291716688?t=_FWPc6lAWGMvP-WPHcOLhA&s=19