mwaka huu iran itasingiziwa kila kitu inimradi wapate watu wakuwaonea huruma wa wape support kama mnataka kupigana simuende wenyewe tumeshachoka kuckia uongo wenu,maana huko iran kuna mayahudi kibao na hawajawahi kuwakamata leo wawakamate evangelistic ambao hawana uadui nao