Natumai mu-wazima kabisa bila kupoteza muda ni kwamba kama mada inavyoeleza hapo juu kuwa kuna biashara hapa chini ;-
Aina : TVS KING Engine : 4 Stroke Muda : 1yr 6mnths Namba : T 161 CHC Mahali ilipo : Tabata,Dsm. Bei : 3,300,000 Negotiable Mawasiliano :0715 409 555 na 0784 409 555 MAMA RADHIA
NB
Engine ipo vizuri kabisa huwa inaenda service kila wiki 3.