Mkuu acha hizo, ofa yangu huioni.... si unijibu...!! 450k
Mbona yule jamaa wa 450k simu Kama hii 6s plus 64 GB ulimkatalia bei unayosema...Mkuu acha hizo, ofa yangu huioni.... si unijibu...!! 450k
Usile Mbegu.
Mkuu, ile sio 6s+.... asanteMbona yule jamaa wa 450k simu Kama hii 6s plus 64 GB ulimkatalia bei unayosema...
😂😂😂 Ile Ilikuwa kavuuu tu lakini 380k ukimubana anakupaMkuu, ile sio 6s+.... asante
Usile Mbegu.
Yule jamaa inaonekana alikuwa na shida kweli na aliuza tayari hata 350KMkuu, ile sio 6s+.... asante
Usile Mbegu.
Nahitaji kweli simu, nipigie debe nimefika 370k.... namsubiri.Yule jamaa inaonekana alikuwa na shida kweli na aliuza tayari hata 350K
Nakusubiri uive.[emoji23][emoji23][emoji23] Offer yako haijafika hata kwenye wigo wa bargaining, Naamini ubora wa ninachouza na Sipendi kusumbuana na watu mkuu ndo maana !
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya wizi?6s plus, 64 gb, rose gold.
Used in super condition
Phone &Cable
Dsm
Price 600,000/=
Call /text 0782 049 547
View attachment 1069317View attachment 1069318View attachment 1069319View attachment 1069320
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahYa wizi?