lunduno Member Joined Dec 22, 2014 Posts 94 Reaction score 29 May 3, 2017 #1 iPhone 6plus Space gray 16 GB +original charger+box lake Simu imetumika haina tatizo lolote wala michubuko Nipo dar es salaam 0675990776
iPhone 6plus Space gray 16 GB +original charger+box lake Simu imetumika haina tatizo lolote wala michubuko Nipo dar es salaam 0675990776
N Ndelyaukiwa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2016 Posts 267 Reaction score 348 May 3, 2017 #2 Weka ɓei kupunguza usumɓufu wa kupiga simu iƙi atakaefika ɓei akupigie.
lunduno Member Joined Dec 22, 2014 Posts 94 Reaction score 29 May 3, 2017 Thread starter #3 Ndelyaukiwa said: Weka ɓei kupunguza usumɓufu wa kupiga simu iƙi atakaefika ɓei akupigie. Click to expand... Laki nane mkuu
Ndelyaukiwa said: Weka ɓei kupunguza usumɓufu wa kupiga simu iƙi atakaefika ɓei akupigie. Click to expand... Laki nane mkuu
Elias mwasibu Member Joined Dec 19, 2016 Posts 83 Reaction score 29 May 3, 2017 #4 Laki 8 wakat hapa mwanza bei ni laki 5 full au kisa jina dar haaaahaaaaaa jipange sawa sawa kama rose mhando
Laki 8 wakat hapa mwanza bei ni laki 5 full au kisa jina dar haaaahaaaaaa jipange sawa sawa kama rose mhando
ynnobygger JF-Expert Member Joined Dec 19, 2015 Posts 213 Reaction score 200 May 3, 2017 #5 Hiyo ya pili na ya tatu kweli ni iphone ila hiyo ya kwanza mbona ni tecno cjuw j ngap?........ www.canabis.com Tuache bang jaman
Hiyo ya pili na ya tatu kweli ni iphone ila hiyo ya kwanza mbona ni tecno cjuw j ngap?........ www.canabis.com Tuache bang jaman
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,354 Reaction score 23,084 May 3, 2017 #6 Elias mwasibu said: Laki 8 wakat hapa mwanza bei ni laki 5 full au kisa jina dar haaaahaaaaaa jipange sawa sawa kama rose mhando Click to expand... Mwanza sehemu gani wanauza laki tano. Je ni mpya au mtumba
Elias mwasibu said: Laki 8 wakat hapa mwanza bei ni laki 5 full au kisa jina dar haaaahaaaaaa jipange sawa sawa kama rose mhando Click to expand... Mwanza sehemu gani wanauza laki tano. Je ni mpya au mtumba
OME123 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,497 Reaction score 606 May 3, 2017 #9 kaka nakupa laki sita kesho,kama uko serious nikupe kesho
lunduno Member Joined Dec 22, 2014 Posts 94 Reaction score 29 May 3, 2017 Thread starter #10 ynnobygger said: Hiyo ya pili na ya tatu kweli ni iphone ila hiyo ya kwanza mbona ni tecno cjuw j ngap?........ www.canabis.com Tuache bang jaman Click to expand... Nilikuwa nazimark sikuzingatia na hiyo ikawa ishapostiwa as long as unajua jf huwezi kufuta kitu
ynnobygger said: Hiyo ya pili na ya tatu kweli ni iphone ila hiyo ya kwanza mbona ni tecno cjuw j ngap?........ www.canabis.com Tuache bang jaman Click to expand... Nilikuwa nazimark sikuzingatia na hiyo ikawa ishapostiwa as long as unajua jf huwezi kufuta kitu
lunduno Member Joined Dec 22, 2014 Posts 94 Reaction score 29 May 3, 2017 Thread starter #11 Elias mwasibu said: Laki 8 wakat hapa mwanza bei ni laki 5 full au kisa jina dar haaaahaaaaaa jipange sawa sawa kama rose mhando Click to expand... Tumia akili mkuu hii ni iPhone usifananishe na simu zingine ok fine we mbona hupost tuzione hizo laki 5
Elias mwasibu said: Laki 8 wakat hapa mwanza bei ni laki 5 full au kisa jina dar haaaahaaaaaa jipange sawa sawa kama rose mhando Click to expand... Tumia akili mkuu hii ni iPhone usifananishe na simu zingine ok fine we mbona hupost tuzione hizo laki 5
Nelson Kileo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 3,054 Reaction score 3,263 May 3, 2017 #12 Picha zako umzipiga kwa wasiwasi
lunduno Member Joined Dec 22, 2014 Posts 94 Reaction score 29 May 4, 2017 Thread starter #13 mandella said: Picha zako umzipiga kwa wasiwasi Click to expand... [
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,091 Reaction score 18,556 May 4, 2017 #14 Kula laki tano n nusu. Fasta
A Ajira Tanzania Member Joined Feb 8, 2017 Posts 79 Reaction score 27 May 4, 2017 #15 Kwa iyo bei iyo simu ukiibonyeza inabidi itoe pilau na juisi
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 May 4, 2017 #16 0786371108 text me we talk serious