IPhone 6 gold version

Kuwa na mazoea ya kukata kucha mara kwa mara mkuu wangu![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Mkuu jifunze kupambana kwa hoja kwa sababu matusi yalitumika zaidi karne ya 7 na ya 8,matusi hayana nafasi karne ya 21!!
Hii ni biashara sio siasa jifunze kusoma mazingira.
Lugha ambayo ningeisikia ni bargain language basi, sio vingine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…