IPhone 5s Gold/Black used

matangazo mengine sasa naona moderator inabidi............
 
Kwann unasema hivyo? Hujaelewa nini hapo mkuu eti?

Achana nae huyo mpiga domo. Mkuu, kama ukiwa na mawazo tofauti kuhusu hitaji lako la simu ni PM. Maana kwa sasa mzigo wa iPhone 5s umekata, so kama utahitaji samsung, hTC na Sony tuwasiliane.
 
Achana nae huyo mpiga domo. Mkuu, kama ukiwa na mawazo tofauti kuhusu hitaji lako la simu ni PM. Maana kwa sasa mzigo wa iPhone 5s umekata, so kama utahitaji samsung, hTC na Sony tuwasiliane.

HAMY-D mna laptop?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mwanaharakati,

Laptops zipo, just nipe specifications zako ili niangalie kwenye stock yangu. Lakini pia nina specialists wangu ambao hutoa huduma ya kiushauri juu ya laptop bora za kununua na kuweka programs kwa zile ambazo ni mpya.

Karibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:

nahitaji mini laptop mkuu.. ni kwa matumizi ya kawaida tu.. plz nitajie mlizo Nazi then I will choose.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…