Iphone 3gs inahitajika

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
kama unauza iphone 3gs nicheki kupitia 0655003510
 
unataka used au mpya. Mie ninayo 16gb used but still good for $250

Used au mpya zote sawa. na biashara zako za dola acha me niko bongo bana na sio ulaya hapa.
 
mi ntakupa dola 100kwa sababu ni used

Yan ukimanisha hiyo simu utanipa kwa dola 100 kwasababu ni used au umemanisha nn?! Kama vp nicheki kwa namba 0655003510 tubonge poa.
 
yan ukimanisha hiyo simu utanipa kwa dola 100 kwasababu ni used au umemanisha nn?! Kama vp nicheki kwa namba 0655003510 tubonge poa.

nimemaanisha nitampa ichondi dola 100 aniuzie hyo i4n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…