iPad 1 inauzwa

​naona zimeanza kushuka bei zikifika laki moja tu ndio watu wa kawaida tutaanza kuchekelea
 
​naona zimeanza kushuka bei zikifika laki moja tu ndio watu wa kawaida tutaanza kuchekelea
hazijaanza kushuka bei mkuu, bado 1mil + !! ni hii moja tu mwenyewe kafilisika anatafuta hela,,,,endelea kusubiri
 
kilo tano, tuzungumze! fedha imepanda thamani mkuu...
 
tena itanifaa sana, maana naelekea ngorongoro mapumzikoni...
hii itakufaa sana mkuu, kwa mambo ya ofisini, internet & email, movies, music yaani laptop utaachana nayo kabisa kwasababu ikiwa fully charged utaitumia atleast 3days or more,,ila bei tu ndo uongeze kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…