samahani,nataka kufahamu namna ya ufanyaji kazi wa hizi machine,hivi kama idadi ya mayai kwa machine haijafikiwa let say machine uwezo wake ni mayai 500 na wewe ukaweka mayai 100,vipi yanaweza kuanguliwa bila tatizo?